NEW AUDIO
Yammi – Kukupenda
Yammi – Kukupenda Lyrics
Mi nimfugaji wa kuku wa mapenzi baby naomba kukugea
Naomba pokea naomba pokea
Honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa
Kuku jali kuku heshimu kuku zalia
Njoo nikuonyeshe kuku kea kukulea
Kukuelewa kama mtoto kuku elewa kwa mengi
hata usio yanena
Mana aaah
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah!
Yammi – Kukupenda
Bonyeza hapa

