KUPENDA PENDA HUKU😍

 

"Unamuomba namba ya simu ya mdada,

 afu anakunyima ila unalazimisha akupe,

 anaona kuliko aendelee kuongea nawe, 

 anaktajia namba 0618702025; 

unafurahi😃😁😁 unaondoka,

 unarudi home unajaribu kumpigia namba haipatikani, unapgaa simu hadi unachoka

unachunguza vizuri unagundua alikutajia tarehe ya leo😂😂."

18,07,2025🤣🤣🤔



Previous Post Next Post